
Joel A. Lwaga
Singer


The official lyric video for Joel Lwaga - Umenikubali Taken from the upcoming studio album 'Good To Go' Subscribe to the Joel Lwaga channel for all the best and latest official music videos, behind the scenes and live performances.  See more official videos from Joel Lwaga here: https://www.youtube.com/joellwaga Follow Joel Lwaga on: Facebook: http://www.facebook.com/joellwaga Twitter: http://twitter.com/joellwaga Instagram: http://instagram.com/joellwaga Official Website: http://joellwaga.com ________________________________________ (Lyrics) Kama Mungu ungetazama Kama watu tunavyotazama Nisingetosha kwenye mizani Nisingekidhi masharti Hukuangalia historia ya familia niliyotokea Hazikukutisha zangu tabia ulilitazama lililo Jema Umenipenda nisiyestahili Umeniita mwanao Niliyejidhania kuwa sifai Umenipenda Upeo Umebadilisha na yangu asili Umenifanya mboni ya jicho lako Ungehitaji walio kamili Mimi si mmoja wao Ulichojali wangu utayari wa kufanya utakalo Umenikabidhi na zako siri Na kunifanya rafiki wa moyo wako Bwana Umenikubali Jini Nilivyo Umenikubali Jinis Nilivyo Umeona Jema ndani yangu na Wala hukutazama Unyonge wangu Kuna muda najiuliza Wewe ni Mungu wa namna gani Uliyenipenda na kunikubali mtu wa namna hii Ziko nyakati hata mimi napata shida kujikubali Iweje wewe unipende mtu wa namna hii Umenipenda Nisiyestahili Umeniita mwanao Niliyejidhania kuwa sifai Umenipenda Upeo Umebadilisha na yangu asili Umenifanya mboni ya jicho lako Ungehitaji walio kamili Mimi si mmoja wao Ulichojali wangu utayari wa kufanya utakalo Umenikabidhi na zako siri Na kunifanya rafiki wa moyo wako Bwana Umenikubali Jini Nilivyo Umenikubali Jinis Nilivyo Umeona Jema ndani yangu na Wala hukutazama Unyonge wangu Ahsanteee Ahsanteee Ahsantee Ahsantee maana Umeona Jema ndani yangu hukutazama Unyonge wangu
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.

Joel A. Lwaga
Singer