
Joel A. Lwaga
Singer


New album "TRUST - EP" Out Now. Download/stream https://li.sten.to/0V6dA8g Subscribe to the Joel lwaga channel for all the best and latest official music videos, behind the scenes and live performances.  https://www.youtube.com/channel/UCPHgr5zfZppLjSePznmPQZA/?sub_confirmation=1 Written and produced by: Joel Lwaga Music production : Gripa Music Acoustic guiter by: Emmanuel Gripa Mixing and Mastering by: Dickson Gripa Bass by: Benja Bass Video directed by : Ivan Follow Joel on... Instagram: http://instagram.com/joellwaga Twitter: http://twitter.com/joellwagamusic Lyrics Unipae afya mifupani mwangu Ninakwamini Ninakwamini Nimekujua na nimekuona Ninakwamini Ninakwamini Unipae afya mifupani mwangu Ninakwamini Ninakuamini Nimekujua na nimekuona Ninakwamini Ninakwamini Tumaini langu Ni wewe tu, Ni wewe tu Msaada wangu Ni wewe tu, Ni wewe tu Kimbilio langu Ni wewe tu Bwana ni wewe tu. Mungu wangu Ni wewe tu ni wewe tu Unipae afya mifupani mwangu Ninakwamini Ninakwamini Nimekujua na nimekuona Ninakwamini Ninakwamini Tumaini langu ni wewe tu Msaada wangu ni wewe tu Kimbilio langu ni wewe tu Mungu wangu ni wewe tu. Japo machozi yanatiririka Ila acha yatoke yasafishe macho Ili nikwone wewe tu wewe tu Wewe tu wewe tu Nikwone wewe tu Nikujue wewe zaidi Kupitia haya zaidi uuh! Nikujue wewe zaidi Kupitia haya zaidi (Wewe unipaye) Unipaye afya mifupani mwangu Ninakwamini Ninakwamini Nimekujua na nimekuona Ninakwamini Ninakwamini (Bwana nguvu zangu) Unipaye afya (Wewe ushindi wangu) Mifupani mwangu Ninakwamini Ninakwamini (Nimekujua wewe ni mwaminifu sana) Nimekujua na nimekuona (Natukuza jina lako) Ninakwamini Ninakwamini Msaada wangu ni wewe tu Kimbilio ni wewe tu Tumaini langu ni wewe tu Msaada wangu ni wewe tu Mfariji wangu ni wewe tu Nitakuona wewe tu Hata gizani nitakwona wewe tu Wewe tu wewe tu wewe tu. Nimekujua na nimekwona Nimekwaminini Nimekwamini Copyright ©℗ 2021, OSPO MUSIC GROUP, Heaven culture Entertainment . All rights reserved
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.

Joel A. Lwaga
Singer