
Obby Alpha
Singer


2 Mambo ya Nyakati 14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao. Wimbo huu ni maalumu kwa wote tunaoliitia jina la Bwana na kuyaamini matendo yake bila kuchoka.Maombi yatajibiwa haijalishi ni muda kiasi gani utapita ila Yeye Yesu ni muaminifu sana. Mika 7;5 Tuimbe na kuomba pamoja AMEN 🙏🏼.
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.

Obby Alpha
Singer