


Jifunze kuhusu nishati safi na Ubongo Kids na European Union! Jumamosi 26 Agosti 2017 saa 3:30 asubuhi kupitia TBC1! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: -- Watch "Kids for a Cleaner Future!" an Ubongo Kids special made in partnership with the European Union in Tanzania, broadcasting on Aug. 26 on TBC1! Learn about clean and dirty energy, climate change and much more! The EU is committed to making the world a better place for all by helping to mitigate climate change. To achieve this we need everyone's help to fight against pollution and find new, cleaner sources of energy. You can help too! Pamoja Tunaweza. To learn more about the EU in Tanzania look here: Ubongo Kids is an animated educational TV series produced in Tanzania, which helps kids find the fun in learning. Edutainment, made in Africa, for Africa. More about Ubongo Kids: Watch Ubongo Kids on TV: TANZANIA: Sat. & Sun. at 9:30am on TBC1 KENYA: Sat. at 9am on Citizen TV Kenya RWANDA: Sat. at 9am on RTV UGANDA: Sat. at 9:30am on NTV Uganda GHANA: Wed. at 4pm on GTV Brought to you by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kid to learn and love learning. /ubongokids /ubongokids /ubongotz
Download subtitle files for this content
No subtitle files available for this title.
Cast information unavailable.